Branch #1 Home Branch Admin: 0673449030 info@kfmicrocredit.com
Customer Services

Fungua account, omba mkopo, na simamia taarifa zako kwa urahisi

Jisajili kwenye mfumo, ingia kwenye account yako, tuma maombi ya mkopo, angalia ratiba ya marejesho, fuatilia taarifa za huduma, na pokea msaada unapouhitaji.

Fungua Account

Jisajili na tengeneza account yako kwa hatua chache.

Omba Mkopo

Tuma maombi ya mkopo moja kwa moja kupitia mfumo.

Angalia Marejesho

Jua ratiba na makadirio ya malipo yako mapema.

Pata Msaada

Wasiliana na admin kwa simu au email ukihitaji msaada.

Create Account
Jaza taarifa za msingi kuanza kutumia huduma
Una account tayari? Login

Huduma za Mteja

Chagua huduma unayohitaji moja kwa moja kutoka kwenye mfumo.

Faida Utakazopata

Huduma hizi zinakusaidia kutumia mfumo kwa urahisi zaidi.

Account Yako

Unaweza kufungua account na kuhifadhi taarifa zako kwa matumizi ya baadaye.

Maombi Rahisi

Unaweza kutuma ombi la mkopo bila kurudia kujaza taarifa kila mara.

Taarifa za Malipo

Unaweza kuona makadirio ya malipo na ratiba ya marejesho mapema.

Msaada wa Haraka

Unaweza kuwasiliana na admin kupitia simu namba 0673449030.

Jinsi ya Kutumia

Fuata hatua hizi kuanza huduma yako.

1
Register

Tengeneza account yako kwa kujaza taarifa za msingi.

2
Login

Ingia kwenye mfumo kwa kutumia account uliyojisajili.

3
Apply Loan

Jaza ombi lako la mkopo na tuma kupitia mfumo.

4
Track Service

Angalia taarifa za mkopo, marejesho, na statement zako.

Loan Calculator

Riba ya mfumo huu ni 15%. Weka kiasi cha mkopo na muda wa marejesho kuona makadirio.

Riba ya Kudumu

Calculator hii inatumia riba ya kudumu ya 15% kwenye hesabu zote.

Makadirio ya Haraka

Angalia jumla ya malipo na malipo ya kila mwezi kabla ya kutuma ombi.

Calculate Loan

Constant interest rate: 15%

TZS 95,833

Riba: TZS 75,000

Jumla ya malipo: TZS 575,000